\v 7 Ni bora yeye akuambie, "Njoo hapa" kuliko wewe kujiaibisha mbele ya mkuu. \v 8 Usiharakishe kufanya kuhukumu, kwa kile ulichokishuhudia. Maana utafanya nini mwishoni, wakati jirani yako atakapokuaibisha?