\v 9 Mheshimu Yehova kwa utajiri wako na kwa malimbuko ya mazao kwa kila unachozalisha, \v 10 na ndipo ghala zako zitajaa na mapipa makubwa yatafurika kwa divai mpya.