\v 27 Yule ambaye hutafuta mema kwa bidii pia anatafuta kibali, bali yule atafutaye ubaya atapata ubaya. \v 28 Wale wanaotumaini utajiri wataanguka, bali kama jani, wale watendao haki watasitawi.