\v 15 Upumbavu umefungwa katika moyo wa mtoto, lakini marudi ya fimbo huutoa. \v 16 Anayewanyanyasa watu masikini ili kuongeza mali yake, au kuwapa matajiri, atakuwa masikini.