\v 11 Busara humfanya mtu achelewe kukasirika na utukufu wake ni kusamehe kosa. \v 12 Ghadhabu ya mfalme ni kama muungurumo wa simba kijana, bali fadhila yake ni kama umande kwenye majani.