\v 21 Upuuzi humfurahia mtu ambaye amepungukiwa akili, bali mwenye ufahamu hutembea katika njia nyofu. \v 22 Mipango huharibika ambapo hakuna ushauri, bali washauri wengi wanafanikiwa.