|
\v 23 Zingatia karipio langu; nitatoa mawazo yangu kwa ajili yenu; nitawafahamisha maneno yangu. \v 24 Nimeita, nanyi mkakataa kusikiliza; nimeunyosha mkono wangu, wala hakuna aliyezingatia. \v 25 Lakini mumedharau mafundisho yangu yote na wala hamkuzingatia maelekezo yangu. |