\v 5 Shujaa wa hekima ni imara, na mtu wa maarifa huongeza nguvu zake; \v 6 maana kwa uongozi wa busara unaweza kufanya vita na kwa washauri wengi kuna ushindi.