\v 23 Mtu mwovu hukubali rushwa ya siri ili kupotosha njia za haki. \v 24 Mwenye ufahamu huelekeza uso wake kwenye hekima, bali macho ya mpumbavu huelekea ncha za dunia.