\v 27 Usizuie mema kwa wale wanaoyastahili, wakati utendaji upo ndani ya mamlaka yako. \v 28 Jirani yako usimwambie, "Nenda, na uje tena, na kesho nitakupa," wakati pesa unazo.