sw_pro_text_reg/31/20.txt

1 line
178 B
Plaintext

\v 20 Mkono wake huwafikia watu masikini; mikono yake huwafikia watu wahitaji. \v 21 Haogopi theluji kwa ajili ya kaya yake, kwa maana nyumba yake yote imevika kwa nguo nyekundu.