sw_pro_text_reg/31/16.txt

1 line
153 B
Plaintext

\v 16 Hulifikiria shamba na kulinunua, kwa tunda la mikono yake hupanda shamba la mizabibu. \v 17 Yeye mwenyewe hujivika nguvu na kuimarisha mikono yake.