sw_pro_text_reg/31/01.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 1 Maneno ya mfalme Lemueli - mausia aliyofundishwa na mama yake. \v 2 Mwanangu nini? Na ni nini mwana wa tumbo langu? Na ni nini mwana wa nadhiri zangu? \v 3 Nguvu zako usiwape wanawake; au wenye kuharibu wafalme njia zako.