sw_pro_text_reg/30/29.txt

1 line
271 B
Plaintext

\v 29 Kuna vitu vitatu ambavyo ni fahari katika mwendo na vinne ambavyo ni fahari katika namna ya kutembea: \v 30 simba, aliyeimara miongoni mwa wanyama- wala hajiepushi na kitu chochote; \v 31 jogoo anayetembea kwa mikogo; mbuzi; na mfalme ambaye askari wapo kando yake.