sw_pro_text_reg/30/24.txt

1 line
221 B
Plaintext

\v 24 Vitu vinne duniani ni vidogo na bado vinabusara: \v 25 mchwa ni viumbe ambao sio imara, lakini huandaa chakula chao wakati wa hari, \v 26 Wibari siyo viumbe wenye nguvu, lakini hutengeneza makazi yake kwenye miamba.