sw_pro_text_reg/30/15.txt

1 line
339 B
Plaintext

\v 15 Ruba anamabinti wawili, " Toa na Toa" wanalia. Kuna vitu vitatu ambavyo havitosheki, vinne ambavyo havisememi, "Inatosha": \v 16 Kuzimu, tumbo tasa, nchi yenye kiu kwa maji, na moto usiosema, "Inatosha." \v 17 Jicho ambalo linamdhihaki baba na kudharau utii kwa mama, macho yake yatadonolewa na kunguru wa bondeni, na ataliwa na tai.