sw_pro_text_reg/30/01.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 1 Maneno ya Aguri mwana wa Yake - mausia: Mtu huyu alimwambia Ithieli, kwa Ithiel na Ukali: \v 2 Hakika nipo kama mnyama kuliko mwanadamu na sina ufahamu wa wanadamu. \v 3 Sijajifunza hekima, wala sina maarifa ya Mtakatifu.