sw_pro_text_reg/29/17.txt

1 line
182 B
Plaintext

\v 17 Mwadibishe mwanao naye atakupa pumziko; ataleta furaha katika maisha yako. \v 18 Pasipo na maono ya kinabii watu huenda bila utaratibu, bali mwenye kuitunza sheria amebarikiwa.