sw_pro_text_reg/29/15.txt

1 line
196 B
Plaintext

\v 15 Fimbo na maonyo huleta hekima, bali mtoto huru mbali na makaripio humwaibisha mama yake. \v 16 Watu waovu wanapotawala, uovu huongezeka, bali wenye kutenda haki wataona anguko la watu waovu.