sw_pro_text_reg/29/13.txt

1 line
181 B
Plaintext

\v 13 Mtu masikini na mkandamizaji wanafanana, maana Yehova huyapa nuru macho yao wote. \v 14 Kama mfalme atamhukumu masikini kwa uaminifu, kiti chake cha enzi kitaimarishwa milele.