\v 7 Atendaye haki hutetea madai ya masikini; mtu mwovu hafahamu maarifa kama hayo. \v 8 Mwenye dhihaka huutia moto mji, bali wale wenye busara huigeuza ghadhabu.