sw_pro_text_reg/28/23.txt

1 line
220 B
Plaintext

\v 23 Anayemkaripia mtu baadaye atapata fadhila zaidi kutoka kwake kuliko mwenye kumsifia sana kwa ulimi wake. \v 24 Yule anayemwibia baba yake na mama yake na kusema, " Hiyo siyo dhambi," ni mshirika wa mwenye kuharibu.