sw_pro_text_reg/28/09.txt

1 line
224 B
Plaintext

\v 9 Kama mtu atageuzia mbali sikio lake kusikia sheria, hata maombi yake ni chukizo. \v 10 Yeye anayempotosha mwenye uadilifu katika njia ya uovu ataangukia kwenye shimo lake mwenyewe, bali wakamilifu watapata urithi mwema.