sw_pro_text_reg/27/15.txt

1 line
148 B
Plaintext

\v 15 Mke mgomvi ni kama siku ya manyunyu ya mvua ya daima; \v 16 kumzuia ni kama kuuzuia upepo, au kujaribu kushika mafuta kwa mkono wako wa kulia.