sw_pro_text_reg/26/22.txt

1 line
180 B
Plaintext

\v 22 Maneno ya mmbea ni kama chembe tamu; nazo zinashuka chini kwenye sehemu za ndani ya mwili. \v 23 Kioo kinachofunika chombo cha udongo ni kama midomo inayoungua na moyo mbaya.