sw_pro_text_reg/26/20.txt

1 line
180 B
Plaintext

\v 20 Kwa kukosa kuni, moto huzimika; na pale pasipo na mmbea ugomvi hukoma. \v 21 Mkaa ni kwa kuwasha makaa na kuni kwa ajili ya moto, ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuwasha ugomvi.