sw_pro_text_reg/25/27.txt

1 line
153 B
Plaintext

\v 27 Si vema kula asali nyingi mno; hivyo ni kama kutafuta heshima baada heshima. \v 28 Mtu bila kujitawala ni kama mji ulibomolewa na usiokuwa na kuta.