sw_pro_text_reg/25/21.txt

1 line
157 B
Plaintext

\v 21 Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale na kama ana kiu, mpe maji ya kunywa, \v 22 maana utamwekea mkaa juu ya kichwa chake na Yehova atakupa thawabu.