sw_pro_text_reg/25/16.txt

1 line
189 B
Plaintext

\v 16 Kama utapata asali, kula ya kutosha- vingenevyo, ukila nyingi sana, utaitapika. \v 17 Usiweke mguu wako kwenye nyumba ya jirani yako mara nyingi, anaweza kuchoshwa nawe na kukuchukia.