sw_pro_text_reg/24/28.txt

1 line
175 B
Plaintext

\v 28 Usitoe ushahidi dhidi ya jirani yako bila sababu na usidanganye kwa midomo yako. \v 29 Usiseme, " Mimi nitamtendea kile alichonitendea; nitalipiza kwa kile alichofanya."