sw_pro_text_reg/24/26.txt

1 line
175 B
Plaintext

\v 26 Anayetoa jibu la kweli hutoa busu kwenye midomo. \v 27 Andaa kazi yako ya nje, na tayarisha kila kitu kwa ajili yako mwenyewe shambani; baada ya hapo, jenga nyumba yako.