sw_pro_text_reg/24/11.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 11 Waokoe wanaochukuliwa kwenda kwenye mauti na uwashikilie wale wanaopepesuka kwenda kwa mchinjaji. \v 12 Kama utasema, "Tazama, hatujui chochote juu ya hili," je yule anayepima mioyo hajui unachosema? Na yule anayelinda maisha yako, je hajui? Je Mungu hatampa kila mmoja kile anachostahili?