sw_pro_text_reg/24/08.txt

1 line
145 B
Plaintext

\v 8 Kuna yule mwenye kupanga kufanya mabaya- watu wanamwita bwana wa njama. \v 9 Mipango ya mpumbavu ni dhambi na watu humchukia mwenye dhihaka.