sw_pro_text_reg/24/01.txt

1 line
156 B
Plaintext

\v 1 Usiwe na husuda kwa wenye ubaya, wala usitamani kuambatana nao, \v 2 kwa sababu mioyo yao inapanga njama za vurugu na midomo ya huongea juu ya madhara.