sw_pro_text_reg/23/24.txt

1 line
162 B
Plaintext

\v 24 Baba yake mwenye haki atafurahia sana, na yule amzaaye mtoto mwenye busara atamfurahia. \v 25 Mfurahishe baba yako na mama yako na yule aliyekuzaa afurahie.