sw_pro_text_reg/23/19.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 19 Sikia- wewe! - mwanangu, na uwe mwenye busara na uelekeze moyo wako katika njia. \v 20 Usishirikiane pamoja na walevi, au pamoja na walaji wa nyama walafi, \v 21 maana mlevi na mlafi wanakuwa masikini na usingizi utawavika kwa matambara.