\v 17 Usiruhusu moyo wako kuwahusudu wenye dhambi, lakini endelea kumcha Yehova siku zote. \v 18 Hakika tumaini lako halitaondolewa na siku zako za hapo baadaye.