sw_pro_text_reg/23/09.txt

1 line
222 B
Plaintext

\v 9 Usiongee katika usikivu wa mpumbavu, maana atadharau hekima ya maneno yako. \v 10 Usihamishe jiwe la mpaka wa kale au kunyang'anya mashamba ya yatima, \v 11 maana Mkombozi wao ni imara na atatetea kesi yao dhidi yako.