sw_pro_text_reg/22/11.txt

1 line
164 B
Plaintext

\v 11 Anayependa moyo safi na mwenye maneno ya neema, atakuwa rafiki yake mfalme. \v 12 Macho ya Yehova huyaangalia maarifa, bali huyapindua maneno ya wadanganyifu.