sw_pro_text_reg/22/01.txt

1 line
177 B
Plaintext

\v 1 Jina jema huchaguliwa dhidi ya utajiri mwingi na fadhila ni bora kuliko fedha na dhahabu. \v 2 Watu matajiri na masikini wanafanana katika hili - Yehova ni muumba wao wote.