sw_pro_text_reg/21/25.txt

1 line
169 B
Plaintext

\v 25 Shauku ya mtu mvivu itamuua, maana mikono yake hukataa kufanya kazi. \v 26 Kwa siku nzima hupatwa na uchu na uchu zaidi, lakini atendaye haki hutoa na wala hazuii.