sw_pro_text_reg/20/27.txt

1 line
182 B
Plaintext

\v 27 Roho ya mtu ni taa ya Yehova, hutafiti sehemu zake zote za ndani kabisa. \v 28 Agano la uaminifu na udhamini humhifadhi mfalme; kiti chake cha enzi hufanywa thabiti kwa upendo.