sw_pro_text_reg/20/25.txt

1 line
227 B
Plaintext

\v 25 Ni mtego kwa mtu kusema kwa pupa, " Kitu hiki ni kitakatifu" na kuanza kufikiri juu yake kwamba kina maana gani baada ya kufanya kiapo. \v 26 Mfalme mwenye busara huwapepeta waovu na huligeuza juu yao gurudumu la kupuria.