sw_pro_text_reg/20/13.txt

1 line
157 B
Plaintext

\v 13 Usipende usingizi au utakuwa masikini; fumbua macho yako na utakuwa na vyakula tele. \v 14 "Mbaya! Mbaya!" anasema mnunuzi, lakini akiondoka anajisifu.