sw_pro_text_reg/20/09.txt

1 line
152 B
Plaintext

\v 9 Nani anayeweza kusema, "Nimeuweka safi moyo wangu; nipo huru na dhambi zangu"? \v 10 Mizani tofauti na vipimo visivyosawa Yehova huvichukia vyote.