sw_pro_text_reg/20/01.txt

1 line
209 B
Plaintext

\c 20 \v 1 Divai ni dhihaka na kinywaji kikali ni mgomvi; anayepotea kwa kunywa hana busara. \v 2 Kumwogopa mfalme ni kama kumwogopa simba kijana aungurumaye, yeyote anayemkasirisha hutoa fidia ya maisha yake.