sw_pro_text_reg/19/26.txt

1 line
178 B
Plaintext

\v 26 Anayempora baba yake na kumfukuza mama yake ni mwana anayeleta aibu na shutuma. \v 27 Mwanangu, kama utaacha kusikiliza maelekezo, utapotea kutoka kwenye maneno ya maarifa.