sw_pro_text_reg/19/05.txt

1 line
170 B
Plaintext

\v 5 Shahidi wa uongo hatakosa adhabu na mwenye kupumua uongo hataokoka. \v 6 Wengi wataomba fadhila kutoka kwa mtu mkarimu na kila mtu ni rafiki wa yule anayetoa zawadi.