sw_pro_text_reg/18/15.txt

1 line
157 B
Plaintext

\v 15 Moyo wa mwenye akili hujipatia maarifa na usikivu wa mwenye busara huitafuta. \v 16 Zawadi ya mtu inaweza kufungua njia na kumleta mbele ya mtu muhimu.