sw_pro_text_reg/18/11.txt

1 line
182 B
Plaintext

\v 11 Mali ya tajiri ni mji wake imara na katika fikira zake ni kama ukuta mrefu. \v 12 Moyo wa mtu huwa na kiburi kabla ya anguko lake, bali unyenyekevu hutangulia kabla ya heshima.